Sumu Lyrics – Alikiba feat Marioo

5/5 - (2 votes)

The new African (Swahili) song Sumu by well-known musicians Alikiba ft. Marioo was released by Diamond Platnumz Channel. Find the correct lyrics to the song “Sumu.”

📌 Song TitleSumu Lyrics
🎤 SingerAlikiba feat Marioo
✍️ LyricsAlikiba feat Marioo
🎼 MusicAlikiba feat Marioo
🏷️ Music LabelAlikiba feat Marioo

Sumu Lyrics

Yeah
Aloooohh
Ababaah
Sounds By Abbah

Mke Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali
Mume Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali Eeh Eeh
Eh Aah Aaaah Kuna Jela
Noma Sana
Aah Aaaah Kuna Jela

Sawa Unakula Bata
Kula Bata Ila Deni Langu Hunilipi Aah Uhmm
We Unakula Raha
Ni Nina Njaa Kale Kadeni Kangu Hunilipi Aaah
Aaah Aaah Kuna Kesho
Ujue Unaniburuga Yelelee
We Si Unanivuruga Sawa
Ujue Unaniconfuse Yelelee
Acha Tu Nile Bati Sawa
Sisi Sio Milima Tutakufana
Sisi Ni People Tutaonana
Si Sio Visima Tutasomana
Tukiwa Kama People Kitaumana Umana

Mke Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali
Mume Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali Eeh Eeh
Eh Aah Aaaah Kuna Jela
Noma Sana
Aah Aaaah Kuna Jela

Mi Ninachojua Pesa Karatasi Eeh
Mi Ninachojua
Mi Ninachojua Pesa Karatasi Eeh
Mi Ninachojua Pesa Karatasi
Mi Ninachojua Pesa Karatasi Eeh
Ni Maua

Wale Walosema Hutiboi Leo Wako Wapi
Walosema Hutoboi Leo Wako Wapi
Eeh Wapite Kule, Wapite Kule Kule Kule
Wapite Kule
Wale Walosema Hutiboi Leo Wako Wapi
Walosema Hutoboi Leo Wako Wapi
Eeh Wapite Kule, Wapite Kule Kule Kule
Wapite Kule

Sisi Sio Milima Tutakufana
Sisi Ni People Tutaonana
Si Sio Visima Tutasomana
Tukiwa Kama People Kitaumana Umana

Mke Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali
Mume Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali Eeh Eeh
Eh Aah Aaaah Kuna Jela
Noma Sana
Aah Aaaah Kuna Jela

Sumu Lyrics Youtube

Leave a Comment